Mary Tyler
Uwerevu ni kitu kinachoanzia mbali sana, watu hupitia mengi na hatua nyingi. Yapo mahitaji ya kuwerevuka ili uwe hivyo. MARY TYLER anatufunza vitu vichache ili tuwe hivyo
- MSEMO WA LEO
"Take chances, make mistakes. That's how you grow. Pain nourishes your courage. You have to fail in order to practice being brave."
-- Mary Tyler
"Tumia fursa, ingia makosani. Hivyo ndivyo utaendelea. Maumivu yanakuza ujasiri. Yakubidi kushindwa ili uwe na uwezo wa kutenda uwerevu."
-- Mary Tyler
Kwa historia ya msemaji wa leo ingia hapa:
https://www.biography.com/people/mary-tyler-moore-9413674
***********************************************
"It takes courage to grow up and become who you really are."
--E. E. Cummings
"Inataka ujasiri kuendelea na kuwa vile
unavyotakiwa kuwa"
-- E. E. Cummings
Kwa historia ya msemaji wa leo:
*******************************
(ELEANOR ROOSEVELT)
Nani anaekubali kudharauliwa? jibu la wazi ni kuwa hakuna, ila unajua sababu ya watu kukudharau?
Msome mwanaMama hapa ana ujumbe wa kukufunua akili kuhsu jambo hilo ELEANOR ROOSEVELT - MSEMO WA LEO
"No one can make you feel inferior without your consent." -- Eleanor Roosevelt
Msome mwanaMama hapa ana ujumbe wa kukufunua akili kuhsu jambo hilo ELEANOR ROOSEVELT - MSEMO WA LEO
"No one can make you feel inferior without your consent." -- Eleanor Roosevelt
"Hakuna atakaeweza kufanya ujiskie kudharauliwa ila tu ukiwa umeridhia"
-- Eleanor Roosevelt
Kwa historia ya Msemaji wa leo ingia hapa:
*******************************
(Dolly Parton)
Unahitaji mafanikio? Au una malengo unataka kuyafikia? Huwa si rahisi bila ya mapitio. Ni lazima uwe na nadharia ya kukupeleka mbele unapopitia mapitio hayo. Chukua point hapa kutoka kwa DOLLY PARTON- MSEMO WA LEO
"The way I see it, if you want the rainbow, you gotta put up with the rain."
- Dolly Parton
"Nionavyo mimi, ukiutaka upinde wa mvua itabidi ukomae na mvua"
- Dolly Parton
******************************
(Earl Nightingale)
Raisi, Mfanyabiashara, Msanii, Dereva na kazi nyingine... unadhani watu huwa vile wanavyokuwa kwa sababu gani? Msukumo unatokea wapi? Angalia hapa EARL NIGHTINGALE mzungumzaji maarufu aliyekuwepo USA anasema nini - MSEMO WA LEO
"We become what we think about most of the time, and that's the strangest secret."
-- Earl Nightingale
"Siri ya kushangaza ni, h uwa tunakuwa vile tulivyo kutokana na fikra zetu wenyewe"
-- Earl Nightingale
Kwa historia ya msemaji wa leo ingia hapa:
********************************
(Philippos Syrigos)
Kila kitu kinaanzia kwenye akili, chanya au hasi. Inataka maamuzi sahihi tu kusonga mbele, kutana na Mrusi aliekuwa muandishi na mpelelezi akikupa kitu muhimu kuhusiana na mada husika - MSEMO WA LEO
"You may only succeed if you desire succeeding; you may only fail if you do not mind failing." -- Philippos
"Utaendelea ikiwa una hamu ya maendeleo na utashindwa ikiwa hutojali kushindwa kwako"
-- Philippos
Kwa historia ya msemaji wa leo ingia hapa:
******************************
"Many of life's failures are people who did not realize how close they were to success when they gave up."
-- Thomas A. Edison
"Watu wengi walioshindwa kufanikiwa kimaisha ni wale ambao hawakuweza kugundua ni kwa kiasi gani walikuwa wako karibu na mafanikio kipindi wanakata tamaa"
-- Thomas A. Edison
Kwa historia ya msemaji wa leo ingia hapa:
https://www.biography.com/people/thomas-edison-9284349
Kwa historia ya msemaji wa leo ingia hapa:
https://www.biography.com/people/thomas-edison-9284349
*********************************
"You miss 100 percent of the shots you don't take." -- Wayne Gretzky
"Unakosa asilimia 100 kwa fursa ambayo hukuifanyia kazi"
-- Wayne Gretzky
Kwa historia ya msemaji wa leo ingia hapa:
********************************
A dream doesn't become reality through magic; it takes sweat, determination, and hard work."
-Colin Powell
"Ndoto haiwi kweli kwa mazingaombwe; inahitaji maamuzi, jitahada, na kuitolea jasho"
- Colin Powell
kwa historia ya Msemaji wa leo, ingia hapa:
https://www.biography.com/people/colin-powell-9445708
************************************
"If you want to make a permanent change, stop focusing on the size of your problems and start focusing on the size of you!"
-- T. Harv Eker
"Kama unataka mabadiliko ya moja kwa moja, acha kuangalia ukubwa wa matatizo na badala yake jiangalie una uwezo mkubwa kiasi gani wa kuyatatua matatizo yako"
-- T. Harv Eker
Kwa historia ya msemaji wa leo ingia hapa:
https://en.wikipedia.org/wiki/T._Harv_Eker
**********************************
"The best revenge is massive success." -- Frank Sinatra
"Mafanikio makubwa ndio kisasi kitamu"
- - Frank Sinatra
Kwa historia ya msemaji wa leo ingia hapa:
**********************************
"Change will not come if we wait for some other person or some other time. We are the ones we've been waiting for. We are the change that we seek."
- Barack Obama
“Mabadiliko hayatakuja ikiwa tutamsubiri mtu au muda Fulani ufike. Sisi ndio wahusika wa mabadiliko. Sisi ndio mabadiliko yenyewe”
- Barack Obama
(Msemo wa 16-03-2018)
kwa historia ya msemaji wa leo, ingia hapa:
kwa historia ya msemaji wa leo, ingia hapa:
*********************************
"Once you choose hope, anything's possible." -- Christopher Reeve
"Pindi uchaguapo matumaini, kila kitu kinawezekana"
-- Christopher Reeve
(Msemo wa 15-03-2018)
Kwa historia ya msemaji wa leo ingia hapa:
Kwa historia ya msemaji wa leo ingia hapa:
************************************
"It is not the strongest of the species that survive, nor the most intelligent, but the one most responsive to change." -- Charles Darwin
“Kiumbe atakaendelea kuishi kwa muda mrefu sio yule mwenye nguvu wala mwenye akili sana, ila ni yule anaekubali mabadiliko”
– Charles Darwin
(Msem wa 14-03-2018)
Kwa historia ya msemaji wa leo ingia hapa:
***********************************
"If your actions inspire others to dream more, learn more, do more, and become more, you are a leader." -- John Quincy Adams
"Kama matendo yako yanawashawishi wengine kutafakari zaidi, kujifunza zaidi, kufanya mambo mengi zaidi na kufika mbali zaidi, wewe ni kiongozi"
-- John Quincy Adams
(Msemo wa 13-03-2018)
Kwa historia ya msemaji wa leo ingia hapa:
https://www.biography.com/people/john-quincy-adams-9175983
********************************
"Start where you are. Use what you have. Do what you can." -- Arthur Ashe
"Anza pale ulipo. Tumia ulicho nacho. Fanya unachoweza"
-- Arthur Ashe
(Msemo wa Tarehe 12-03-2018)
Kujua historia ya msemaji wa leo ingia hapa:
https://www.biography.com/people/arthur-ashe-9190544
*************************************
"It is never too late to be what you might have been."
-- George Eliot
"Hujachelewa kuwa vile ulivyopaswa kuwa"
-- George Eliot
(Msemo wa Tarehe 11-03-2018)
Kwa Historia ya mwanadada huyu ingia hapa:
https://www.biography.com/people/george-eliot-9286017
***********************************
"There are two types of people who will tell you that you cannot make a difference in this world: those who are afraid to try and those who are afraid you will succeed."
-Ray Goforth
"Kuna watu aina mbili ambao watakwambia huwezi kuleta mabadiliko ulimwenguni: ambaye anaogopa kujaribu kufanya jambo na yule anaehofia utampiku kwenye jambo hilo"
-Ray Goforth
(Msemo wa Tarehe 09-03-2018)
Kwa historia ya Msemaji wetu wa Leo ingia hapa:
https://www.ancientfaces.com/person/ray-goforth/59721053
***************************************
"You can't please everyone, and you can't make everyone like you."
-- Katie Couric
"Huwezi kumfurahisha kila mtu, na huwezi
kufanya kila mtu akukubali"
-- Katie Couric
(Msemo wa Tarehe 08-03-2018)
Kwa historia ya msemaji wa leo, ingia hapa:
https://www.biography.com/people/katie-couric-9542060
******************************
"If you can't explain it simply, you don't understand it well enough."
- Albert Einstein
"Ikiwa huwezi kuelezea kwa kifupi, basi
hujaelewa kiundani"
- Albert Einstein
(Msemo wa Tarehe 07-03-2018)
Kwa maisha ya Albert Einstein ingia hapa:
https://www.biography.com/people/albert-einstein-9285408
(Msemo wa Tarehe 07-03-2018)
Kwa maisha ya Albert Einstein ingia hapa:
https://www.biography.com/people/albert-einstein-9285408
**********************************
"Opportunities don't happen. You create them."
-- Chris Grosser
"Fursa hazitokei, unazitengeneza"
-- Chriss Grosser
(Msemo wa Tarehe 06-03-2018)
*********************************
"It does not matter how slowly you go, so long as you do not stop."
- Confucius
“Haijalishi unakwenda mwendo mdogo kiasi gani, alimradi usisimame tu”
- Confucius
(Msemo wa Tarehe 05-03-2018)
Kwa historia ya Msemaji wa leo, ingia hapa:
"You must expect great things of yourself before you can do them."
- Michael Jordan
"Kabla hujafanya mambo yako, tarajia matokeo makubwa"
-Michael Jordan
(Msemo wa Tarehe 03-03-2018)
************************************
(Msemo wa Tarehe 03-03-2018)
************************************
"Someone is sitting in the shade today because someone planted a tree a long time ago."
-- Warren Buffett
"Anaekaa kivulini leo ni kwa sababu kuna aliyepanda mti muda mrefu uliopita"
-- Warren Buffet
(Msemo wa Tarehe 02-03-2018)
*****************************(Msemo wa Tarehe 02-03-2018)
"All our dreams can come true if we have the courage to pursue them."
- Walt Disney
“Tunaweza kufanikisha ndoto zetu, ikiwa tutakuwa na moyo wa kuzipigania”
-Walt Disney
(Msemo wa Tarehe 01-03-2018)
************************************
"Live as if you were to die tomorrow. Learn as if you were to live forever."
-- Mahatma Gandhi
"Ishi kama vile utakufa kesho. Jifunze kana kwamba utaishi milele"
- - Mahatma Gandhi
(Msemo wa Tarehe: 28-02-2018)******************************
JIM ROHN
"If you don't design your own life plan, chances are you'll
fall into someone else's plan. And guess what they have planned for you? Not
much." -- Jim Rohn
“Ikiwa hujapangilia maisha yako ni kwamba utakuja uingie
kwenye mipango ya wenzio. Halafu nini wamekuandalia kwenye mipango yao? Sehemu
ndogo tu” – Jim Rohn
(Msemo wa Tarehe: 27-02-2018)
***********************************
(Msemo wa Tarehe: 27-02-2018)
***********************************
MIKE GAFKA
"To be successful, you must accept all challenges that come your way. You can't just accept the ones you like." -- Mike Gafka
"Mafanikio ni kukubali changamoto za aina zote utakazokumbana nazo na si kuzikubali baadhi"
-- Mike Gafka
(Msemo wa Tarehe: 26-02-2018)
*********************************
(Msemo wa Tarehe: 26-02-2018)
*********************************
"But you have to do what you dream of doing even while
you're afraid."
- Arianna Huffington"Hakuna budi kufanikisha ndoto yako hata kama unaogopa"
-Arianna Huffington
(Msemo wa Tarehe 25-02-2018)
No comments:
Post a Comment