Theodore "Dr. Seuss" Giesel
Mambo yanapotokea huwa na matokeo mawili, furaha au huzuni itategemea unachukulia vipi hali utakayokutana nayo. Ila ni vizuri kuwa upande chanya kwani jambo likitokea limetokea. Jifunze kitu kutoka kwa muasisi wa "Dr. Seuss" - MSEMO WA LEO
"Don't cry because it's over, smile because it
happened." -- Dr. Seuss
"Usilie kwa kuwa yameisha, tabasamu kwa kuwa yamefanyika" -- Dr. Seuss
Kwa historia...
Thursday, 19 April 2018
Wednesday, 18 April 2018
NUKTA
April 18, 2018
Msemo wa Leo: 18-04-2018
New
Mary Tyler
Uwerevu ni kitu kinachoanzia mbali sana, watu hupitia mengi na hatua nyingi. Yapo mahitaji ya kuwerevuka ili uwe hivyo. MARY TYLER anatufunza vitu vichache ili tuwe hivyo
- MSEMO WA LEO
"Take chances, make
mistakes. That's how you grow. Pain nourishes your courage. You have to fail in
order to practice being brave."
-- Mary Tyler
"Tumia fursa, ingia makosani. Hivyo ndivyo utaendelea. Maumivu yanakuza ujasiri. Yakubidi...
Saturday, 14 April 2018
New
HADITHI FUPI Na. 6
JINA: CHAUSIKU
MTUNZI: ISIHAKA ‘NUKTA’
KIBAO
Kwa kweli sikujua nifanye nini kwani nilikuwa na majonzi makubwa katika
maisha yangu, hakuna kilichoniendea sawa. Kila mtu nimtafutaye alikuwa ni kama
vile anaenisikiliza na kunipa ahadi nyingi za kunisaidia, wengine wakinambia
tutakupigia simu, wengine niwape muda mambo yao sio mazuri na wengine
kutokunipokelea simu kabisa....
NUKTA
April 14, 2018
MSEMO WA LEO: 14-04-2018
New
Maya Angelou
Katika safari ya maisha tunakumbana na vitu vingi kwa kuwa kila siku kuna mambo mapya, yapo uyapendayo na mengine ni kinyume. Ila tunajitahidi kuendana nayo ili tufike tunapopataka, ujanja wa kufika kiurahisi anao MAYA ANGELOU kupitia MSEMO WA LEO
"If you don't like something, change it. If you can't change it, change your attitude."
-- Maya Angelou
"Kama kuna kitu hukipendi maishani mwako, kibadilishe. Kama huwezi basi...