Sunday, 25 February 2018

Hadithi fupi fupi


Hadithi Na. 01 inayokwenda kwa jina la PEMBA - DAR, ni hadithi fupi miongoni mwa hadithi fupi fupi zitakazokuwa zikiwekwa kwa ajili ya wasomaji wa Blogu hii. Karibu kwenye simulizi za kusisimua na kufunza, mwandishi wa simulizi hizi akiwa ni Isihaka S. Kibao.


“Kimya ndo kilikuwa mfalme wa chumba tulichokuwemo na kama utulivu ungekuwa na roho basi ungekuwa shahidi kwa kutoa ushuhuda wa nyuso na hisia za watu zilivyoshikwa na mshangao kwa muda wa takriban dakika kumi.
Haikupaswa kutokea yaliyotokea kwa yule Mzee, alikuwa...."


Endelea kwa kufungua:  

http://nuktatz.blogspot.com/p/vitabu.html


#isihakanukta

No comments:

Post a Comment