"The whole secret of a successful life is to find
out what is one's destiny to do, and then do it."
-- Henry Ford
" Siri kubwa ya maisha ya mafanikio ni kutambua ni kitu gani mtu unapaswa kufanya, halafau unakifanya
"
-Henry Ford
Kwa historia ya msemaji wa leo ingia hapa:
https://www.biography.com/people/henry-ford-92987...
Saturday, 31 March 2018
Thursday, 29 March 2018
NUKTA
March 29, 2018
MSEMO WA LEO: 29-03-2018
New
"You miss
100 percent of the shots you don't take." -- Wayne Gretzky
"Unakosa asilimia 100 kwa fursa ambayo hukuifanyia kazi"
-- Wayne Gretzky
Kwa historia ya msemaji wa leo ingia hapa:
https://en.wikipedia.org/wiki/Wayne_Gretz...
Wednesday, 28 March 2018
NUKTA
March 28, 2018
MSEMO WA LEO: 28-03-2018
New
A dream doesn't become reality through magic; it takes
sweat, determination, and hard work."
-Colin Powell
"Ndoto haiwi kweli kwa mazingaombwe; inahitaji maamuzi, jitahada, na kuitolea jasho"
- Colin Powell
kwa historia ya Msemaji wa leo, ingia hapa:
https://www.biography.com/people/colin-powell-94457...