Friday, 23 February 2018

Nukta Rasmi


Habari za kwako mfuatiliaji na mtazamaji wa NUKTA.

Leo imekuwa siku adhimu na kubwa katika ulimwengu wa uandishi, ningependa kukukaribisha kwenye ulimwengu wa kuboresha na ikibidi kubadili mipango, muelekeo na maono kuhusu maisha yako kupitia Simulizi Za Hadithi na Picha zenye jumbe mbali mbali.

Yote hayo yatakuwa yakiletwa kwenu na Msimamizi, Mwandishi na Muendeshaji mkuu wa Blogu hii ambaye ni Isihaka S. Kibao ama kwa jina la kiuandishi atakuwa anajulikana kwa Jina la NUKTA. Hivyo basi tunashkuru mungu kwa kutufikisha siku na saa hii adhimu na kutuwezesha kufanikisha kutengeneza haya.

Nachukua fursa hii kukukaribisha na kukuomba kuendelea kufuatilia Blogu hii kwani itachangia kupelekea mipango, muelekeo na maono chanya juu ya mambo ya ulimwengu huu na maisha kiujumla.

Leo mnamo tarehe 23-02-2018 Blogu hii imefunguliwa rasmi.

Waweza fuatilia pia kupitia:
Instagram Akaunti: @nukta_tz
Twitter Akaunti: @NuktaTz
Facebook Page: Nukta (Username: @isihakanukta)

#NUKTA 
Boresha mipango, muelekeo na maono ya maisha yako.

No comments:

Post a Comment