"Take up one idea. Make that one idea your life
-- think of it, dream of it, live on that idea. Let the brain, muscles, nerves,
every part of your body be full of that idea, and just leave every other idea
alone. This is the way to success."
-- Swami Vivekananda
"Teua wazo moja tu. Lifanye wazo hilo ndio maisha yako -- litafakari, litumainie, ishi kwa wazo hilo. Ruhusu kila sehemu ya mwili wako iishi kwa ajili ya wazo hilo, akilini mwako, kwenye fahamu zako na achana na mawazo mengine yote. Hiyo ndio njia ya mafanikio"
-- Swami Vivekananda
Kwa historia ya msemaji wa leo ingia hapa:
No comments:
Post a Comment