Monday, 9 April 2018

MSEMO WA LEO: 09-04-2018


(Dolly Parton)

Unahitaji mafanikio? Au una malengo unataka kuyafikia? Huwa si rahisi bila ya mapitio. Ni lazima uwe na nadharia ya kukupeleka mbele unapopitia mapitio hayo. Chukua point hapa kutoka kwa DOLLY PARTON- MSEMO WA LEO

"The way I see it, if you want the rainbow, you gotta put up with the rain."
- Dolly Parton


"Nionavyo mimi, ukiutaka upinde wa mvua itabidi ukomae na mvua"

- Dolly Parton




No comments:

Post a Comment