Winston Churchill
Watu hawajisimamii tu na kuongea mawazo yao au kusema ya moyoni. Unajua nini kipo nyuma yake? Au mtu kuwa mtulivu na kusikiliza maoni hata kama hayaendani naye. Kipo kitu - Chukua faida hapa kutoka kwa WINSTON CHURCHIL aliyekuwa Waziri Mkuu Uingereza - MSEMO WA LEO
"Courage is what it
takes to stand up and speak; courage is also what it takes to sit down and
listen."
- Winston Churchill
"Ujasiri ndio humfanya mtu kusimama na kutohoka ila pia ujasiri ndio unapelekea kutulizana na kusikiliza"
- Winston Churchill
Kwa historia ya Msemaji wa Leo ingia hapa:
No comments:
Post a Comment