Friday, 2 March 2018

HADITHI FUPI FUPI Na. 02 - MPELEKESHA MAUNGO


HADITHI FUPI FUPI
HADITHI Na. 02
JINA: MPELEKESHA MAUNGO

Yalikuwa macho yake kama vile anaeniangalia muda wote, ni kama vile mtu alie na kifaa cha kuupelekesha moyo wangu kwani kila akisogea basi huuamuru moyo wangu na kuanza kudunda kwa kasi isivyo kawaida. Na pale anaponisogelea hata kama ni kwa bahati mbaya....


Endelea kusoma kupitia:

http://nuktatz.blogspot.com/p/vitabu.html 

No comments:

Post a Comment